|
GARI
AINA YA HAICE LIKIWA MTONI KIWIRA MAENEO YA DARAJA UWANJA WA NDEGE |
|
MUONEKANO WA GARI LILIVYO ANGUKIA MTONI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU 19 |
|
BAADHI
YA MIILI YA MAREHEMU IKIWA IMELAZWA PEMBENI YA BARABARA BAADA YA
KUPATA AJALI MBAYA KATIKA ENEO KA UWANJA WA NDEGE KIWIRA TUKUYU WILAYANI
RUNGWE |
|
MAITI ZIKIWA ZIMEBEBWA KATIKA GALI LA POLISI TUKUYU NA KUFIKISHWA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI TUKUYU |
|
VIJANA WAUNGWANA WALIOJITOKEZA KUSAIDIA KUBEBA MIILI YA MAREHEMU NA KUHIFADHI CHUMBA CHA MAITI TUKUYU |
|
MTOTO ALIYEPOTEZA MAISHA ALIYEKUWA NA MAMA YAKE MZAZI KATIKA GARI HILO AMBAPO HATA MAMA YAKE AMEFARIKI KATIKA AJALI HIYO |
|
WATU
MBALIMBALI WAKAZI WA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE NA MAENEO YAKE
WALIJITOKEZA KUSHUHUDIA MIILI YA MAREHEMU KAMA WANAWEZA KUWATAMBUA |
|
BAADHI
YA MIILI YA MAREHEM WALIFARIKI KATIKA AJALI HIYO. |
|
WATU WAKIENDELEA NA ZOEZI LA KUITAMBUA MIILI YA MARAHEMU
...............................................................................................
WAKIONGEA
NA RUNGWE YETU
MASHUHUDA WAMESEMA KUWA AJALI HII IMETOKANA NA MWENDOKASI WA GARI LILILOBEBA
WATU KUTOKA MBEYA AINA YA HAICE WALIOKUWA WANAELEKEA GULIONI KIWIRA.
KUTOKANA NA MGOMO WA MABASIWA MADAI KUWA MWENZAO MMOJA ALIKAMATWA NA SUMATRA NA KUPIGWA FAINI KWA KUONEWA HIVYO WAKAGOMA KUSHINIKIZA MWENZAO HUYO AACHIWE.
DEREVA HUYO WA BASI DOGO AINA YA HAICE AKAONA HAPO NDO PAKUPIGIA BAO.
AKIWA SAFARINI AKAGUNDUA KUWA ANAFUATWA NA MADEREVA WALIOGOMA KUSAFIRISHA ABILIA NDIPO AKAAMUA KUWAKIMBIA NDIPO ALIPOFIKA KATIKA MTEREMKO WA UWANJA WA NDEGE DEREVA ALISHINDWA KUMUDU KONA NDIPO GARI IKAPINDUKA NA KUTUMBUKIA MTONI.
CHANZO CHA AJALI NI MWENDO KASI.
|
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni