Ijumaa, 10 Aprili 2015

Mgomo ulioanza rasmi leo asubuhi




Mgomo ulioanza rasmi leo asubuhi baada ya madereva kuwa na malalamiko, umeisha baada ya Serikali kupitia kwa Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka, kufuta Agizo la Madereva kusoma upya katika Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni