Jumamosi, 11 Oktoba 2014

OFISI YA BONDE LA ZIWA NYASA LIMEDHAMINI MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU WILAYA YA RUNGWE KWA TIMU 16 KUSHINDANA.

MAKAO MAKUU YA OFISI YA BONDE LA MAJI KWA MIKOA MITATU MKOA WA MBEYA , MKOA WA NJOMBE NA MKOA WA RUVUMA PAMOJA NA WILAYA KUMI NA TATU AMBAZO NI RUNGWE MAKAO MAKUU YA OFISI NA IKIWA NDIO SEHEMU PEKEE YENYE VYANZO VYA MAJI VINGI NA UHAKIKA. MBEYA VIJIJINI, ILEJE, MOMBA, KYELA, MAKETE, NJOMBE NA LUDEWA, SONGEA, NANTUMBO, MBINGA NA NYASA





AFISA MAJI BONDE LA ZIWA NYASA 
Eng, WITGAL NKONDOLA


 KUSHOTO NI AFISA MAJI WA BONDE LA ZIWA NYASA Eng, WITGAL NKONDOLA  AKIWA NA Eng, INNOCENT LYAMUYA WAKIWA  OFISINI  WAKIENDELEA NA MAJUKUMU YAO YA KAZI.

 


Eng, WITGAL NKONDOLA akiwa na watumishi wenzie wakiangalia kabumbu safi sana

  Mashabiki wakifuatilia mashindano hayo kwa makini kabisa


 Timu zikiwa kwenye mapumziko inayoonekana ni timu ya Katumba


HUU NI UWANJA WA MPIRA WA TUKUYU MJINI UNAVYOONEKANA



 MASHABIKI WAKIWA WANAFURAHIA BURUDANI YA KABUMBU.

......................................................................... 



AFISA MAJI BONDE LA ZIWA NYASA NDG, WITGAL NKONDOLA AMESEMA KUWA,
 MBINU MBALIMBALI ZA KUFIKISHA UJUMBE KWA WANANCHI WA ILAYA YA RUNGWE NA SEHEMU NYINGINE ILI KUJUA UMUHIMU WA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI KWA MANUFAA YA KIZAZI CHA SASA NA KIJACHO.

 HIVYO KWA SASA WANATUMIA MICHEZO HASA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU KWAYO TIMU KUMI NA SITA ZILIANZA MASHINDANO. 

 ENG NKONDOLA AMESEMA FAINALI ITACHEZWA KATIKA SIKU YA KILELE CHA UZINDUZI WA JENGO LA KISASA LA OFISI YA BONDE LA MAJI LILILOJENGWA NA SERIKALI  YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.

 MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA KIKWETE AKIWA ZIARANI MBEYA ATAZINDUA JENGO HILO LILILOPO WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA.