Ijumaa, 17 Aprili 2015

breaking news : WATU 19 WAHOFIWA KUFA KUFUATIA AJARI MBAYA ILYOTOKEA LEO, IMEHUSISHA BASI DOGO AINA YA HIACE BAADA YA DEREVA KUSHINDWA KUIMUDU KONA NA KUSABABISHA KUTUMBUKIA KATIKA MTO KIWIRA ENEO LA KIWIRA MAALUFU KAMA UWANJA WA NDEGE.

breaking news : AJARI MBAYA YATOKEA LEO RUNGWE MBEYA .

Ni ajari iliyo tokea hivyi punde ambayo imetokea katika maeneo ya uwanja wa ndege wilayani rungwe
na zaidi ya watu kumi na 19 wanahofiwa kupoteza maisha.haice iyo ilikuwa imetokea mbeya ikileta abilia Tukuyu.
TAARIFA ZAIDI TUTAWAJUZA .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni