Ikulu ya Marekani imesema Rais Obama
atatumia muda ambao watazamaji wa televisheni nchini humo wanaangalia
zaidi
matangazo siku ya Alhamisi kutangaza mabadiliko makubwa ya mfumo
wa uhamiaji wa nchi hiyo.
Inatarajiwa kuwa Rais Obama atasema kuwa
atatumia madaraka yake aliyopewa kikatiba kuzuia wahamiaji wapatao
milioni tano kurejeshwa makwao na badala yake wapatiwe vibali vya
kufanya kazi nchini humo.Rais Obama amesema hayo katika video iliyotumwa katika ukurasa wa facebook kabla ya hotuba yake.Tangu kuingia madaraka Obama amekuwa akipigania baadhi ya mabadiliko ikiwemo huduma ya utoaji wa huduma za afya kwa mfumo wa bima ya afya.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni