Jumanne, 1 Oktoba 2013

KARIBU MWENGE WILAYANI RUNGWE. Mwenge wa Uhuru leo umeanza mbio zake katika Wilaya ya Rungwe, Mwenge utakimbizwa wilayani Rungwe kwa siku mbili kwa kuanzia na Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe na baadaye katika Halmashauri ya Busokelo. Mwenge wa Uhuru unategemea kuzindua miradi yenye thamani ya zaidi ya Shilingi Bilioni moja.



















picha na Bashiru Madodi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni