MAPENDEKEZO YA KUGAWA MKOA WA MBEYA, BARAZA LA MADIWANI RUNGWE WAPENDEKEZA MKOA KUITWA RUNGWE NA MAKAO MAKUU KUWA KATIKA MJI WA TUKUYU
MKUU
WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGOZA KIKAO CHA RCC BAADA YA
KIKAO CHA MADIWANI KUPITISHA MAPENDEKEZO YA MAKAO MAKUU YA MKOA MPYA
YAWE TUKUYU NA MKOA MPYA KUITWA RUNGWE
MKURUGENZI
WA HALMASHAURI YA RUNGWE AKIONGEA NA BARAZA LAMADIWANI NA WATENDAJI
KATIKA KIKAO MAALUM CHA KUUUGAWA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI
JENGO
JIPYA AMBALO BARAZA LA MADIWANI RUNGWE KWA KAULI MOJA LIMEAMUA KUWA
ENDAPO RUNGWE ITAFIKIA VIGEZO NA KUWA MKOA WA MBEYA BASI HILO NDILO
LITAKUWA OFISI YA MKUU WA MKOA NA WATENDAJI WAKE
MR SHIRIMA AKISOMA TAARIFA YA MAPENDEKEZO YA KUGAWANYA MKOA WA MBEYA KUWA MIKOA MIWILI
DAS ALINANUSWE MWALUFUNDA AKITOA TAARIFA YA SERIKALI BAADA YA MCHAKATO HUU KUANZA ILI KUGAWA MKOA WA MBEYA NA KUWA MIKOA MIWILI
MWENYEKITI WA HALMASHAURI
MHE: ALFRED MWAKIPIKI
AKIONGOZA KIKAO MAALUM CHA MADIWANI KUHUSU MAPENDEKEZO YA KUUGAWA MKOA WA MBEYA ILI KUWA MIKOA MIWILI
DIWANI
KATA YA KIWIRA KUPITIA CHAMA CHA CHADEMA AKIELEZA FULSA ZITAKAZO
WANUFAISHA WANANCHI BAADA YA KUKUBARIKA KWA MKOA MPYA AMBAO YEYE KAMA
MWAKILISHI WA WANANCHI ALIUNGA NKONO HIJA KWA ASILIMIA MIA
DIWANI
KATA YA KAWETELE KWA CHAMA CHA NCCR MAGEUZI AKIPINGA MAPENDEKEZO YA
MKOA MPYA KUWA WILAYANI RUNGWE KWA SABABU KATA ANAYOTOKA HAINA OFISI
KULIA
NI DIWANI WA KATA YA KAWETELE MHESHIMIWA MWASAKILALI WA CHAMA CHA NCCR
MAGEUSI AKIJIBU MASWALI KWA WAAANDISHI WA HABARI HASA BAADA YA KUPINGA
KUWEPO KWA MKOA MPYA KATIKA WILAYA YA RUNGWE IKIWA NI KUSOGEZA HUDUMA
KARIBU NA WANANCHI SWALI NI JE KUKATAA KWAKE NI MAWAZO YA WANANCHI WAKE
AU NIYAKE BINAFSI SWALI AMBALO ALISHIDWA KUJIBU
KULIA
NIMWENYEKITI WA BARAZA LA MADIWANI RUNGWE NA MAKAMU WAKE WAKIWA NNJE YA
JENGO JIPYA LA HALMASHAURI YA RUNGWE AMBALO KUPITIA KIKAOA CHA MA
DIWANI WAMEPITI SHA KUWA JENGO LA OFISI YA MKUU WA MKOA WA RUNGWE
RUNGWE YETU ITAENDELEA KUWALETEA KITAKACHOENDELEA HATUA KWA HATUA. ENDELEA KUFUATILIA HABARI NA MATUKIO MBALIMBALI YA WILAYA YA RUNGWE KUPITIA www.rungweyetu.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni