Ijumaa, 7 Juni 2013

KAIMU MKUU WA KITUO CHA POLICE INSPECTOR B.L. LIHWA AKIWATUNUKU VYEO ASKARI WA KAMPUNI YA ULINZI AB & ANN SECURITY CO LTD


INSPECTOR B.L. LIHWA AKIWA TAYARI KUWATUNUKU VYEO ASKARI


 MKURUGENZI WA KAMPUNI NDG, WILIAM .A. MWANJALA AKISOMA RISALA KWA MGENI LASMI



 GWARIDE LIKIINGIA UWANJANI TAYARI KWA KUKAGULIWA



MKURUGENZI AKIMPOKEA MGENI RASMI 


MGENI RASMI AKIKAGUA GWARIDE


ASKARI SIMON TEACHER MALAMLA AKITUNUKIWA CHEO CHA SGT, KIONGOZI MKUU MKOA WA RUVUMA.


 ASKARI ARON .E. MWAKYAMBAGE KIONGOZI MKUU WA KAMPUNI AKITUNIKIWA CHEO CHA SGT.

 ASKARI JULIUS MWAMBETANIA, KIONGOZI MKUU WILAYA YA KYELA AKITUNUKIWA CHEO CHA CPL.

ASKARI FESTO ELIAH KIONGOZI MKUU JIJI MBEYA, AKITUNUKIWA CHEO CHA CPL.

 ASKARI JOHN KABUKA KIONGOZI WILAYA YA RUNGWE, AKITUNUKIWA CHEO CHA CPL

 BAADA YA ZOEZI LA KUTUNUKU KWISHA TAFRIJA FUPI ILIENDELEA NA RISALA ILISOMWA KWA MGENI LASMI.



AB & ANN SECURITY SERVICES LIMITED 

ni kampuni ya Ulinzi ya Kitanzania yenye makao yake makuu Mkoani Mbeya Wilaya ya Rungwe Kwenye jengo la Mamlaka ya mji mdogo Tukuyu mjini.

Ilianzishwa na kupewa CERTIFICATE ya usajili NO 83726 tarehe 06-06-2011.

Kampuni inazo ofisi Tukuyu, Mbeya, Kyela na Songea, Kampuni ilianza na Askari 3  kufikia mpaka sasa ina Askari 90.


Ina mchanganyiko wa Askari kuna POLISI, JWTZ, JKT na MGAMBO, ni kampuni inayowalipa Askari mishahara inayotangazwa na Serikali.


Ni kampuni pekee ya kitanzania inayolinda mali za watanzania na wamalawi, SONGWE RIVER BASIN DEVELOPMENT PROGRAMME iliyopo Kyela.



Mkurugenzi wa kampuni Ndg, WILIAM A. MWANJALA alisema kuwa anaiomba Serikali iyape kipao mbele makampuni ya ndani, tofauti na ilivyo sasa Makampuni makubwa yanapokuja kuwekeza hapa nchini yanakuja na makampuni ya ulinzi toka nje ya nchi kama makampuni ya NIGHT SAPORT, SECURITY GROUP n.k.

 haya ni makampuni ya nje yanawaajili Askari wa Tanzania kwa ujira mdogo sana.

PICHA NA RUNGWE YETU.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni