Jumanne, 14 Mei 2013

Ajali Mbaya yatokea katika eneo la Kanyegele wilayani Rungwe, Mmoja afariki dunia na 17 wajeruhiwa wamelazwa katika hospitali ya wilaya ya Rungwe

 Basi aina ya Coster ikitokea Mbeya kuelekea Kyela imepata ajali katika eneo la kanyegele Tukuyu, baada ya kugongwa kwa nyuma na Loli la Mizigo lilipofeli Brek

Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe: Chrispin Meera akiwa akiongea na Askari wa usalama barabarani kuhusiana na ajali hiyo.


 Hili ndilo loli lililoigonga Coster na kupotea njia kuingia msituni

 Muungoni mwa majeruhi alikuwemo pia na Afisa kilimo Ndg Tarimo.




Hakuna maoni:

Chapisha Maoni