MKUU
wa wilaya ya Rungwe Bw. Chripin Meela amesema, changamoto zinazoikabili
sekta ya habari na vyombo vya habari kwa ujumla ni matokeo ya umuhimu
wa taaluma hiyo katika ukuaji wa demokrasia nchini
Jumanne, 28 Mei 2013
Ijumaa, 24 Mei 2013
UJENZI WA BARABARA KIWANGO CHA RAMI KUTOKA TUKUYU - MBAMBO - LWANGWA - KATUMBA, UMEANZA RASMI TAREHE 23-05-2013. NI FURAHA KWA WANANCHI WAISHIO KATIKA HALMASHAURI MPYA YA BUSOKELO KWA KUWA SASA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAO YATAKWENDA KWA KASI ZAIDI NA ALI MPYA ZAIDI.
NI FURAHA KWA WANANCHI WAISHIO KATIKA HALMASHAURI MPYA YA BUSOKELO KWA KUWA SASA MAENDELEO YA HALMASHAURI YAO YATAKWENDA KWA KASI ZAIDI NA ALI MPYA ZAIDI.
WANANCHI WAKIWA WANASHUHUDIA NA KUFURAHIA SANA BAADA YA KUJUA KUWA SERIKALI IMEWAKUMBUKA.
PICHA NA RUNGWE YETU TUNAOMBA MAONI YAKO KWA KUIBOLESHA BLOG YETU
Jumatatu, 20 Mei 2013
UWANJA WA MPIRA TUKUYU WABADILISHIWA MATUMIZI, WAMETENGEWA MACHINGA, WAUZA MATUNDA, MBOGA MBOGA, DARADARA NA TAX. WATAKUWA HAPO KWA MUDA WAKATI WAKISUBILI ENEO LA KIBISI KIKAMILIKA AMBAKO ITAJENGWA STAND KUU NA ENEO LA BIASHARA ZAO. LENGO NI KUWATOA MAENEO HATALISHI, PEMBEZONI MWA BARABARA KUU KWA KUHOFIA AJALI.
Vijana wakiwa katika harakati za kuweka alama za vibanda.
Vijana wakiwa katika harakati za kuweka alama za vibanda.
Hili ni eneo la uwanja lililotengwa na kwa ajili yao |
Hili ni eneo la uwanja lililotengwa na kwa ajili yao
Afisa Mtendaji Mamlaka ya mji Mdogo Ndg Livinston Mwakipesile akisimamia ugawaji wa viwanja hivyo |
Afisa Mtendaji Kata Msaidizi Ndg Gerban Chale akisimamia ugawaji wa viwanja
Haya ni maeneo hatalishi ambayo wanatakiwa waondoke machinga
Picha na Rungwe Yetu |
WATU WA MBEYA HAWAKOMI: SHUHUDIA WANANCHI WA MLIMA NYOKA MBEYA WALIVYO GOMBANIA MAFUTA BAADA YA GARI LA MAFUTA KAMPUNI YA LAKE OIL KUPINDUKA
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)