MGOMO WA COSTER WASABABISHA USUMBUFU NA KUPANDA KWA NAURI 5000/= KWA KICHWA KUTOKA TUKUYU KWENDA MBEYA NA KYELA NA MGOMO HUU PIA UPO KATIKA BARABARA YA TUNDUMA , CHIMALA NA MAKAMBAKO. SABABU NI SUMATRA KUTOWARUHUSU MAKONDAKTA KUSIMAMA.
MADEREVA NA WAPIGA DEBE WAKIWA WAMESIMAMA STAND HAPO
ABILIA WAKIWA KAMA KONDOO WALIOKIMBIWA NA MCHUNGAJI WAKISUBIRI LOLOTE LITOKEE.
MALOLI YALIPOTAKA KUJITOLEA KUWASAIDIA ABILIA MADEREVA NA WAPIGADEBE WA KOSTA WAKAWAGOMEA KUFANYA HIVYO.
STAND HAKUNA KOSTER HATA MOJA!!!!!
ABILIA WANAZAGAAZAGAA TU HAPO STAND WAKISUBIRI NEEMA ITOKEE.
TAX ZILIJITOLEA KUPAKIA ABILIA KWA TSH 5000/=
ABILIA WAKIGOMBANIA KUINGIA KATIKA TAX HIZO, ASKARI WA USALAMA BARABARANI ALIINGILIA KATI NA KUWAONGOZA.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni