MAKAO
MAKUU YA OFISI YA BONDE LA MAJI KWA MIKOA MITATU MKOA WA MBEYA , MKOA
WA NJOMBE NA MKOA WA RUVUMA PAMOJA NA WILAYA KUMI NA TATU AMBAZO NI
RUNGWE MAKAO MAKUU YA OFISI NA IKIWA NDIO SEHEMU PEKEE YENYE VYANZO VYA
MAJI VINGI NA UHAKIKA. MBEYA VIJIJINI, ILEJE, MOMBA, KYELA, MAKETE,
NJOMBE NA LUDEWA, SONGEA, NANTUMBO, MBINGA NA NYASA
Eng, WITGAL NKONDOLA
KUSHOTO NI AFISA MAJI WA BONDE LA ZIWA NYASA Eng, WITGAL NKONDOLA AKIWA NA Eng, INNOCENT LYAMUYA WAKIWA OFISINI WAKIENDELEA NA MAJUKUMU YAO YA KAZI.
Eng, WITGAL NKONDOLA akiwa na watumishi wenzie wakiangalia kabumbu safi sana
Mashabiki wakifuatilia mashindano hayo kwa makini kabisa
Timu zikiwa kwenye mapumziko inayoonekana ni timu ya Katumba
HUU NI UWANJA WA MPIRA WA TUKUYU MJINI UNAVYOONEKANA
MASHABIKI WAKIWA WANAFURAHIA BURUDANI YA KABUMBU.
.........................................................................
AFISA
MAJI BONDE LA ZIWA NYASA NDG, WITGAL NKONDOLA AMESEMA KUWA,
MBINU MBALIMBALI
ZA KUFIKISHA UJUMBE KWA WANANCHI WA ILAYA YA RUNGWE NA SEHEMU NYINGINE ILI KUJUA
UMUHIMU WA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA VYANZO VYA MAJI KWA MANUFAA YA
KIZAZI CHA SASA NA KIJACHO.
HIVYO KWA SASA WANATUMIA MICHEZO HASA MCHEZO WA MPIRA WA MIGUU KWAYO TIMU KUMI NA SITA ZILIANZA MASHINDANO.
ENG NKONDOLA AMESEMA FAINALI
ITACHEZWA KATIKA SIKU YA KILELE CHA UZINDUZI WA JENGO LA KISASA LA OFISI
YA BONDE LA MAJI LILILOJENGWA NA SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
MHESHIMIWA RAIS WA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DR JAKAYA KIKWETE AKIWA ZIARANI MBEYA
ATAZINDUA JENGO HILO LILILOPO WILAYANI RUNGWE
MKOA WA MBEYA.