RAIS KIKWETE AZINDUA MELI MBILI ZA KIVITA KIKOSI CHA WANAMAJI CHA JWTZ JIJINI DAR ES SALAAM
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi meli mbili za
doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika
Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam April 28, 2015.
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua mara baada ya kuzindua
rasmi meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo
kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini
Dar es salaam April 28, 2015
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na
makamanda wa meli vita mbili za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS
Mwitongo kwenye sherehe zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni
jijini Dar es salaam April 28, 2015
Amiri
Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Chifu Edward
Wanzagi wa kabila la Wazanaki (kati) pamoja na Mbunge wa Afrika
Mashariki Mhe Makongoro Nyerere baada ya kuzindua rasmi meli vita mbili
za doria bahari kuu TNS Msoga na TNS Mwitongo kwenye sherehe
zilizofanyika Kamandi ya Jeshi la Maji Kigamboni jijini Dar es salaam
April 28, 2015.
(PICHA NA IKULU)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni