MWANDOSYA AKAGUA MIRADI YA UJENZI BUSOKELO, RUNGWE MASHARIKI, MKOANI MBEYA
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi maalumu) Profesa Mark Mwandosya (wa tano
kulia) akipata maelezo kutoka kwa Afisa Mtendaji wa Kijiji cha Ntaba,
Bi. Rebecca Hyera (wa nne kulia) kuhusu sehemu ya Mradi wa Umwagiliaji
maji wa Katela - Ntaba ambapo limejengwa ghala la mazao ya mpunga na
kakao.
Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipita
kwenye kivusha maji cha Mradi wa umwagiliaji Katela - Ntaba wakati
akikagua Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya akipata
maelezo ya Banio la mradi wa umwagiliaji wa Katela-Ntaba.wakati
akikagua Miradi ya Ujenzi Busokelo,Rungwe Mashariki, mkoani Mbeya Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais (Kazi Maalum) Profesa Mark Mwandosya katika picha
ya pamoja na watendaji,viongozi na wananchi baada ya kukagua ghala ya
mazao ya Mrafi waumwagiliaji wa Kasysbone-Kisegese.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni