Baada ya majaji wa Mahakama
ya Rufaa jijini Dar es Salaam kupitia hoja za mawakili wa serikali na
utetezi kwenye Rufaa ya hukumu ya kifungo cha maisha jela katika kesi
iliyokuwa ikimkabili mwanamuziki Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye
Johnson Nguza ‘Papii Kocha’, wameamua kuhairisha rufaa hiyo mpaka tarehe
husika ya kutoa hukumu ya kesi hiyo itakapopangwa hapo baadaye.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni